Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA MHE.TONY...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA MHE.TONY BLAIR IKULU CHAMWINO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana  na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 29,2021. PICHA NA IKULU.