Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU

 

  
 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
 
 
 

Previous articleRAIS SAMIA KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA TANZANIA FESTIVAL.
Next articleRC: SENYAMULE: MAANDALIZI MAONESHO YA NNE YA SEKTA YA MADINI YAMEKAMILIKA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here