Home LOCAL TANZIA: MHARIRI WA HABARI MKINGA MKINGA AFARIKI DUNIA, JIJINI DAR ES SALAAM,...

TANZIA: MHARIRI WA HABARI MKINGA MKINGA AFARIKI DUNIA, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Mkinga Mkinga akizungumza kwenye moja ya vikao vyake alipokuwa Mhariri Mtendaji wa UPL wachapishaji wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo miaka kadhaa iliyopita.

 DAR ES SALAAM.

Mwandishi wa Habari nguli ambaye amewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani yaliyokuwa yakichapishwa na Uhuru Publications Ltd ambayo sasa yanachapishwa na Uhuru Media Group Ltd, Mkinga Mkinga amefariki dunia.

Taarifa za awali zimesema, Mkinga ambaye amewahi pia kuwa Mhariri katika vyombo vya habari hapa nchini, amefariki leo alfajiri katika Hospitali ys Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam.


Previous articleRC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Next articleWAZIRI SIMBACHAWENE AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI JESHI LA MAGEREZA, WANANCHI CHIHIKWI, MSALATO JIJINI DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here