Home LOCAL OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAWALETA PAMOJA WAHARIRI WA HABARI NA USCAF...

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAWALETA PAMOJA WAHARIRI WA HABARI NA USCAF KATIKA KIKAO KAZI JIJINI DAR

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina Thobias Makoba, akizungumza alipokuwa akitoa salamu za tangulizi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wahariri wa Habari na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Chini ya uratibu wa Ofisi ya Msajili wa Hazina, kilichofanyika leo Octoba 21,2021 katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Jijini Dar es Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF), Justina Mashiba, akizungumza alipokuwa akiwasilisha mada katika kikao kazi hicho kilichoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina , kilichofanyika Novemba 21, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF), Albert Richard akitoa salamu zake katika kikao kazi hicho kilichofanyika leo Octoba 21,2023 Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodaus Balile, akihutubia Mkutano huo na kutoa neno la Shukrani kwa niaba ya Wahariri wa Habari.

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Anitha Mendoza, akiwa pamoja na Wahariri wengine wakifuatia hotuba na mada zilizokuwa zilizokuwa zikitolewa katika Mkutan huo.

Baadhi ya Wahariri wa Habari katika Mkutano huo.

Previous articleSOMA MAGAZETI LEO JUMANNE NOVEMBA 21-2023
Next articleUSCAF KUPELEKA MAWASILIANO KWA WANANCHI ZAIDI YA MILIONI 20 VINIJINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here