Home LOCAL MAKAMU WA RAIS IBADA YA IJUMAA KUU DODOMA

MAKAMU WA RAIS IBADA YA IJUMAA KUU DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa kuu katika Parokia ya Mtakatifu  Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma leo tarehe 07 Aprili 2023.

Previous articleMAKAMU WA RAIS KATIKA KUMBUKIZI YA MIAKA 51 YA KIFO CHA SHEIKH KARUME
Next articleSIMBA SC YATINGA HUSU FAINALI YA ASFC,YAICHAPA IHEFU 5-1
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here