Home SPORTS

Na: Heri Shaaban. (Ilala)

Jumuiya ya Wazazi Kata ya Ilala imeandaa mashindano ya kombe la Ramadhani ambayo yanatarajia kuanza hivi karibuni .

Akizungumza na waandishi wa habari Wilayani Ilala Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Ilala Sabry Sharif, alisema mashindano hayo yanatarajia kuzinduliwa April 8 mwaka huu Viwanja vya Ilala 

“Mashindano ya Ramadhani cup yameandaliwa na Jumuiya ya wazazi kata ya Ilala, wadau wa Kata ya Ilala kwa ajili ya kuhamasisha sekta ya michezo Ilala pamoja na Mlezi wa Jumuiya hiyo Imran Jaffer alisema Sabry

Mwenyekiti Sabry alisema Sabry alisema kuwa michezo hiyo itazinduliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala Mohamed Msophe .

Mwenyekiti Sabry Sharif aliwataka Wadau wa michezo kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Garden Ilala ambapo timu nane zitakuwa zinawania kombe hilo .

“Michezo ni Afya,michezo ni ajira pia kujenga mahusiano Dumuni la mashindano haya Kata ya Ilala kukuza vipaji vya michezo kwa timu za Ilala ziweze kushiriki mashindano makubwa ngazi ya wilaya na Mkoa “alisema

MwishoJumuiya ya wazazi Ilala waanda mashindano ya Ramadhani cup

Na Heri Shaaban. (Ilala )
Jumuiya ya Wazazi Kata ya Ilala imeandaa mashindano ya kombe la Ramadhani ambayo yanatarajia kuanza hivi karibuni .

Akizungumza na waandishi wa habari Wilayani Ilala Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Ilala Sabry Sharif, alisema mashindano hayo yanatarajia kuzinduliwa April 8 mwaka huu Viwanja vya Ilala .

“Mashindano ya Ramadhani cup yameandaliwa na Jumuiya ya wazazi kata ya Ilala, wadau wa Kata ya Ilala kwa ajili ya kuhamasisha sekta ya michezo Ilala pamoja na Mlezi wa Jumuiya hiyo Imran Jaffer alisema Sabry

Mwenyekiti Sabry alisema Sabry alisema kuwa michezo hiyo itazinduliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala Mohamed Msophe .

Mwenyekiti Sabry Sharif aliwataka Wadau wa michezo kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Garden Ilala ambapo timu nane zitakuwa zinawania kombe hilo .

“Michezo ni Afya,michezo ni ajira pia kujenga mahusiano Dumuni la mashindano haya Kata ya Ilala kukuza vipaji vya michezo kwa timu za Ilala ziweze kushiriki mashindano makubwa ngazi ya wilaya na Mkoa “alisema

Mwisho

Previous articleWANANCHI WAVUTIWA NA HUDUMA ZA TASAC, WAJITOKEZA KUPATA ELIMU KWENYE MAONESHO YA BIASHARA MTWARA
Next articleRITA YATAMBULISHA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI (eRITA) KWA WAHARIRI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here