Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA AWASILI JIJINI PRETORIA KWAAJILI YA ZIARA YA KISERIKALI YA...

RAIS MHE. SAMIA AWASILI JIJINI PRETORIA KWAAJILI YA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MOJA NCHINI AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Maua kutoka kwa Mtoto Malaika Adam Issara mara baada ya kuwasili Jijini Pretoria kwa ajili ya ziara ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi Pretoria nchini Afrika Kusini (Diaspora) mara baada ya kuwasili nchini humo tarehe 15 Machi, 2023.

Previous articleTCU, IUCEA YAWALETA PAMOJA WADAU WA ELIMU YA JUU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR
Next articleTANZANIA MIONGONI MWA NCHI 30 DUNIANI ZENYE WAGONJWA WENGI WA KIFUA KIKUU 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here