Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU, OFISI YA RAIS TAMISEMI –...

RAIS MHE. SAMIA AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU, OFISI YA RAIS TAMISEMI – IKULU CHAMWINO DODOMA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023.

Previous articleSERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA WEZESHI YA WAJASIRIAMALI – MHE. KIGAHE
Next articleBRELA YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA TWCC JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here