Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AZINDUA KAMATI YA KUFANYA TATHMINI UTENDAJI WA WIZARA YA...

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA KAMATI YA KUFANYA TATHMINI UTENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.

Wajumbe wa Kamati pamoja na Viongozi wengine wakiwa kwenye uzinduzi wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara hiyo ya Mambo ya Nje mara baada ya uzinduzi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, baadhi ya Mabalozi pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo mara baada ya uzinduzi wa Kamati hiyo uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mara baada ya kuzindua Kamati hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salam. Wajumbe wa Kamati hiyo ni Balozi Yahya Simba (Mwenyekiti) wa pili kutoka kushoto, Balozi Dkt. Mwanaidi Sinare Maajar wa pili kutoka kulia, Balozi Peter Allan Kallaghe wa kwanza kushoto pamoja na Balozi Tuvako Nathaniel Manongi wa kwanza kulia pamoja na Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi watatu kutoka kulia.

Previous articleWAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA EMD RUANGWA
Next articleWAHARIRI WASISITIZA KULINDWA KWA MIRADI YA MAENDELEO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here