Home LOCAL MUADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO AZURU KABURI LA ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA...

MUADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO AZURU KABURI LA ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA TANO HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI KIJIJINI CHATO LEO

Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo leo Machi 16, 2023 amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano HAYATI Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato, mkoani Geita. Kardinali Pengo, aliyeongozana na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo la Geita Dkt. Flavian Kassala na viongozi wengine wa dini wa Geita, alipokelewa na mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na wanafamilia.

Cedit: Michuzi Blog

Previous articleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 17 – 2023
Next articleWAKANDARASI WALIOGOMEA WITO WA DKT. MOLLEL WA KUFIKA ENEO LA KAZI WAELEKEZWA KUFIKA KWA MKUU WA MKOA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here