Home LOCAL MAKAMU WA RAIS MAZUNGUMZO NA RAIS WA BURUNDI

MAKAMU WA RAIS MAZUNGUMZO NA RAIS WA BURUNDI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 06 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo (Tete a tete) na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Doha nchini Qatar unakofanyika  Mkutano wa Tano  wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea za Kipato cha Chini.

Previous articleMAKAMU WA RAIS MAZUNGUMZO NA GREEN CLIMATE FUND
Next articleDKT. TAX AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here