Home SPORTS HASSAN MWAKINYO KUZICHAPA NA MKONGO KUCHANGIA TAULO ZA KIKE

HASSAN MWAKINYO KUZICHAPA NA MKONGO KUCHANGIA TAULO ZA KIKE

Bondia wa Kimataifa, Hassan Mwakinyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Lady in Red Boxing Promotion watazungumza na waandishi wa habari kesho Jumanne Machi 28, 2023 kuhusu pambano la bondia huyo na mwenzake kutoka DR Congo, Kuvesa Katembo litakalofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma April 23, 2023 kwa lengo la kuchangisha taulo za kike 40,000 kwa ajili ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

Previous articleRAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA BENKI YA NBC PAMOJA NA UONGOZI WA JUU WA BENKI YA ABSA GROUP AMBAO NI WAWEKEZAJI WA BENKI YA (NBC) IKULU DAR ES SALAAM
Next articleCoRI WAKETI KUPITIA VIFUNGU VYOTE MUSWADA WA SHERIA YA HABARI JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here