Home LOCAL RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA KENYA MHE.WILLIAM RUTO...

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA KENYA MHE.WILLIAM RUTO IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Samoel Ruto, uliowasilishwa na Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, ambae pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya kumkabidhi Ujumbe kutoka kwa Rais Ruto Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na  Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, ambae  pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipitia Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya kuwasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae ni Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Previous articleYASEMAVYO  MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARI 3 – 2023
Next articlePEPFAR IMEPUNGUZA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU TANZANIA-MAJALIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here