Home LOCAL RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 6,...

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 6, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Ukraine hapa nchini Mhe. Andrii Pravednyk, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ukraine Mhe. Andrii Pravednyk mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Slovak hapa nchini Mhe. Katarina Zuffa Leligdonova, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Slovak mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Hungary Mhe. Zsolt Meszaros, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Hungary Mhe. Zsolt Meszaros mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Israel  Michael Lotem, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno  Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ureno  Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Previous articleYANGA YAPOKEA MAMILIONI YA MAMA
Next articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MACHI 1,2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here