Home BUSINESS MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA GDM MKONI SONGWE – 2

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA GDM MKONI SONGWE – 2

Waziri Mkuu, Kassim Mkajaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu uoteshaji miche ya kahawa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kulia ni Afisa Uhusiano wa kiwanda, Loveness Joshua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu kahawa iliyokoborewa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Previous articleMAJALIWA: HALMASHAURI TEKELEZENI MIRADI KWA FEDHA ZA NDANI
Next articleRAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA 26 YA GRIDI IMARA YENYE THAMANI YA SHILINGI TRILLION 1.9 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here