Home BUSINESS TCB YAIPIGA JEKI SEKTA YA ELIMU ,YATOA MSAADA WA MIFUKO 150 YA...

TCB YAIPIGA JEKI SEKTA YA ELIMU ,YATOA MSAADA WA MIFUKO 150 YA CEMENT KUBORESHA MADARASA,

Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya Cement, kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kilamba iliyopo mbagala Charambe iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanya maboresho ya madarasa ya shule hiyo Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni. kutoka kulia ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga.

Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya Cement, kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga, iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi Kilamba iliyopo Charambe. Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Leah Masaba, Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja na mjumbe wa shule.

Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya Cement, kwa Mtendaji kata ya Charambe Theodora Malata iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi Kilamba iliyopo Charambe. Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni wengine pichani Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, pamoja na uongozi kutoka kamati ya shule.

Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kilamba Leah Masaba, akizungumza wakati wa hafla yakupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo 

Mtendaji kaya ya Charambe Theodora Malata, akitoa shukrani kwa niaba ya shule ya Msingi Kilamba kwa uongozi wa TCB baada ya kupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo iliyopo Charambe jijini Dar es Salaam.

Previous articleSEKRETARIET YA CCM TAIFA YAPOKEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA.
Next articleCHUO CHA OLMOTONYI CHATAKIWA KUWA BUNIFU KATIKA KUTAFUTA VYANZO VYA MAPATO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here